1.    Wewe ni kibonge,ulipo enter facebook uliingia kama group.
2.    Nyinyi ni maholy, hadi wezi wakiiba jibwa anasema,”
       Ibeni tu lakini Mungu anawaona.”
3.    Ati nyanyake mtu ni mzee hadi aliona Dead Sea ikiwa alive.
4.    Phone yako imezeeka hadi key pads ni za Roman numbers.
5.    Nasikia wewe ni (DUNCE) hadi wa fail Blood Test.  
       Dunce- Dictionary= turn to Kiswahili.
6.    Wewe una dhambi nyingi  Shetani husema,”Huyu jamaa antupea competition.”
7.    Sister zako ni ugly hadi baba yako ameandika kwa gate,  “Marry 1 get 2 free,'
8.    Una kogo sharp hadi ukienda kwa kinyozi anamaliza  kukunyoa na sharpener.
9.    Phone yako imezoea credit ya 20 hadi ukiweka ya 100 ya kuregeshea balance(change) ya 80
10.  Niliona mtu mwengine anayetisha hadi Ngiri anasema,'Heri mimi.'
11.  Mfanya kazi wa rafiki yangu ni m-lazy hadi anapika chapo moja na anatoa photo-copy
        ya hizo zingine.
12.   Wewe ni mlafi na mchafu hadi sahani na sabuni zakusengenya.
13.   Una kichwa small hadi ukifikiria inasema ,”Memory full.”
15.   Ati wewe ni mang'aa hadi ile siku ulikua unazaliwa ulisema,”Sitoki na sitoki uchi(tuputupu)
        hadi nivalishwe nguo.”
16.   Wewe ni m-ugly ulivyo kuwa waenda National Park ulikuwa arrested kwa sababu ya
        kuimpasonate Baboon.

LATEST LCM ARTICLES

Login Form

WHO IS ONLINE

We have 263 guests and no members online