Shule ni mahali tunakosomea.
Jina la shule yangu ni Loreto Convent.
Iko katika kaunti ya Mombasa.
Shule yangu iko karibu na Likoni Ferry.
Ilianzishwa na watawa watatu wa Loreto.
Shule yangu ina wavulana na wasichana.
Wasichana huvaa marinda meupe na
wavulana huvalia mashati meupe na
kaptula za khaki.
Shule yangu ina mabasi manne.
Kuna madarasa kumi na tisa.

LATEST LCM ARTICLES

Login Form

WHO IS ONLINE

We have 397 guests and no members online